| How are your Swahili listening skills? |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer |
| correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanafunzi wa kiume na kike wanatazama matangazo |
| ya kazi. |
| Mwanafunzi wa kike ataandikisha kazi ipi? |
| Hebu, unadhania nini kuhusu kazi hii? |
| Ujira wa saa moja ni juu sana. |
| Ndivyo, ujira unaonekana nzuri sana, lakini |
| waweza kupeleka magazeti sehemu tofauti? |
| Bila shaka! |
| Mimi ni stadi kwa kuendesha baiskeli. |
| Lakini ninahofia kuamka mapema. |
| Na hii je? |
| Ujira sio kubwa vile, lakini unawezakufanya |
| kazi kwa masiku mbili au tatu kwa wiki na |
| kuanza kufanya kazi jioni. |
| Ala, hii? |
| Mchukuzi pesa katika supamaketi, sivyo? |
| Itakuwa nzuri kufanya kazi baada ya shule. |
| Hii katika duka la kahawa linaweza kuwa nzuri |
| pia. |
| Divyo, napapenda! |
| Na iko kwenye barabara ya kwenda shuleni. |
| Si mbaya, sivyo? |
| Hmm, niandikishe ipi? |
| Ipi iko katikati? |
| Duka la kahawa au ya kupeleka gazeti sehemu |
| tofauti. |
| Hmm, ujira wa kazi ya gazeti ni nzuri sana....sawa, |
| nimebadilisha uamuzi wangu. |
| Itanibidi niamke mapema. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide