Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer
correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamke anapima nguo huku akiongea na karani.
Atanunua nguo gani?
Inafanana vyema kwako na inakutosha vizuri
sana.
Naelewa.
Inanitosha... lakini mimi huvaa rangi dhahiri.
Sijazoea mtindo huu.
Hatahivyo, nadhani unafanana vizuri.
Kweli?
Itanichukua ujasiri ili niweze kuvaa hivi.
Unaonaje rinda hii?
Mtindo wake ni nyamavu hivyo basi haitaangaza
vile.
Uko sawa, wacha nijaribu hiyo.
Endelea.
Unadhania nini kulihusu.
Hili ni sawa kwangu kuliko ya kwanza.
una mtindo huu wa mikono mirefu?
Ndio, tunao.
Asante, nitanunua hiyo.
Atanunua nguo gani?
Mwanamke anapima nguo huku akiongea na karani.
Atanunua nguo gani?
Inafanana vyema kwako na inakutosha vizuri
sana.
Naelewa.
Inanitosha... lakini mimi huvaa rangi dhahiri.
Sijazoea mtindo huu.
Hatahivyo, nadhani unafanana vizuri.
Kweli?
Itanichukua ujasiri ili niweze kuvaa hivi.
Unaonaje rinda hii?
Mtindo wake ni nyamavu hivyo basi haitaangaza
vile.
Uko sawa, wacha nijaribu hiyo.
Endelea.
Unadhania nini kulihusu.
Hili ni sawa kwangu kuliko ya kwanza.
una mtindo huu wa mikono mirefu?
Ndio, tunao.
Asante, nitanunua hiyo.
Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide