| Hi everyone, I’m Gabriella, how are your Swahili listening skills? |
| In this video you’ll have a chance to test them out with a quiz. |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Rais wa kampuni na katibu wake wanazungumza |
| kwenye simu. |
| Ni waraka gani katibu atayopeleka katika idara |
| ya mauzo? |
| Hujambo, wawezakunifanyia msaada? |
| Kuna waraka katika dawati langu, ningelipenda |
| uipeleke katika idara ya mauzo. |
| Hakika, ni waraka ngani? |
| Nadhani iko katika bahasha ya bluu. |
| Bahasha ya bluu ... hmm, kuna bahasha mbili |
| za bluu kwenye dawati lako. |
| Hakika, kuna kifungu nyekundu juu na upande |
| wa kulia mwa bahasha hiyo. |
| Uliona muhuri wa kijani ni ule waraka tuliopeana |
| katika mwelekezo wa kuajiri. |
| Ulionamuhuri nyekundu ... sawa nimeupata. |
| Vyema. |
| Hivyo tafadhali upeleke kwenye idara ya mauzo |
| kabla ya saa saba adhuhuri na uhakikishe umeutuma |
| kwa meneja moja kwa moja. |
| Unamjua, sivyo? |
| Ndivyo, nimekutana na kuzungumza nayeye mara |
| kadhaa. |
| Vyema. |
| Ee na unaweza peleka bahasha ile ingine kwa |
| posta? |
| Ndio, bwana. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide