Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

Hi everyone, I’m Gabriella, how are your Swahili listening skills?
In this video you’ll have a chance to test them out with a quiz.
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Rais wa kampuni na katibu wake wanazungumza
kwenye simu.
Ni waraka gani katibu atayopeleka katika idara
ya mauzo?
Hujambo, wawezakunifanyia msaada?
Kuna waraka katika dawati langu, ningelipenda
uipeleke katika idara ya mauzo.
Hakika, ni waraka ngani?
Nadhani iko katika bahasha ya bluu.
Bahasha ya bluu ... hmm, kuna bahasha mbili
za bluu kwenye dawati lako.
Hakika, kuna kifungu nyekundu juu na upande
wa kulia mwa bahasha hiyo.
Uliona muhuri wa kijani ni ule waraka tuliopeana
katika mwelekezo wa kuajiri.
Ulionamuhuri nyekundu ... sawa nimeupata.
Vyema.
Hivyo tafadhali upeleke kwenye idara ya mauzo
kabla ya saa saba adhuhuri na uhakikishe umeutuma
kwa meneja moja kwa moja.
Unamjua, sivyo?
Ndivyo, nimekutana na kuzungumza nayeye mara
kadhaa.
Vyema.
Ee na unaweza peleka bahasha ile ingine kwa
posta?
Ndio, bwana.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide