| How are your Swahili listening skills? |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanamke anapiga simu katika mgahawa. |
| Alikuwa akila chakula cha mchana katika meza |
| gani? |
| Hujambo. |
| Naweza kukusaidiaje? |
| Nilikula chakula changu cha mchana hapo awali |
| kidogo, na nadhani niliwacha leso yangu hapo. |
| Uliwacha leso yako kwa meza? |
| Unawezakumbuka ulipokaa? |
| Nitaenda kuitafuta. |
| Naam ... ilikuwa nyuma ya mgahawa. |
| Ulikuwa katika sehemu ya kuvuta sigara au |
| sehemu pasipovutwa sigara? |
| Sehemu pasipovutwa sigara. |
| Je, ulikaa katika meza ya huduma au katika |
| meza ya kawaida? |
| Nilikaa katika meza ya watu wanne. |
| Sawa basi, nitaenda kuangalia. |
| Tafadhali subiri kidogo. |
| Asante sana. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide