Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamke anapiga simu katika mgahawa.
Alikuwa akila chakula cha mchana katika meza
gani?
Hujambo.
Naweza kukusaidiaje?
Nilikula chakula changu cha mchana hapo awali
kidogo, na nadhani niliwacha leso yangu hapo.
Uliwacha leso yako kwa meza?
Unawezakumbuka ulipokaa?
Nitaenda kuitafuta.
Naam ... ilikuwa nyuma ya mgahawa.
Ulikuwa katika sehemu ya kuvuta sigara au
sehemu pasipovutwa sigara?
Sehemu pasipovutwa sigara.
Je, ulikaa katika meza ya huduma au katika
meza ya kawaida?
Nilikaa katika meza ya watu wanne.
Sawa basi, nitaenda kuangalia.
Tafadhali subiri kidogo.
Asante sana.
Alikuwa akila chakula cha mchana katika meza
gani?
Mwanamke anapiga simu katika mgahawa.
Alikuwa akila chakula cha mchana katika meza
gani?
Hujambo.
Naweza kukusaidiaje?
Nilikula chakula changu cha mchana hapo awali
kidogo, na nadhani niliwacha leso yangu hapo.
Uliwacha leso yako kwa meza?
Unawezakumbuka ulipokaa?
Nitaenda kuitafuta.
Naam ... ilikuwa nyuma ya mgahawa.
Ulikuwa katika sehemu ya kuvuta sigara au
sehemu pasipovutwa sigara?
Sehemu pasipovutwa sigara.
Je, ulikaa katika meza ya huduma au katika
meza ya kawaida?
Nilikaa katika meza ya watu wanne.
Sawa basi, nitaenda kuangalia.
Tafadhali subiri kidogo.
Asante sana.
Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide