Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mtu anatafuta nyumba ya ghorofa.
Ni nyumba ipi ya ghorofa atakayochagua?
Samahani, ninatafuta nyumba ya ghorofa katika
eneo hii, unaweza nionyesha rasimu ya baadhi
ya ghorofa?
Bila shaka.
Ni ya mtu mmoja?
Hapana, nitaishi na bibi yangu.
Nataka sebule, chumba cha kulala na ya kusoma.
Sawa.
Na hii je?
Kuna vyumba viwili pamoja na sebule ingawa
inaweza kuwa na kelele kidogo kwa sababu iko
karibu na barabara kubwa.
Naona.
Mimi hufanya kazi nyumbani, kwahivyo nahitaji
mahali pa tulivu.
Na ningependa sebule iwe ya umbo wa mraba.
Naam, Na hii je?
Iko mbali kidogo na stesheni, lakini katika
eneo tulivu ya makazi.
Kuna vyumba viwili na sebule, lakini chumba
kimoja ni nyembamba.
Hmm ... Hatuna vitu vingi, hivyo basi, hii
itaweza kututosha.
Tunaweza kukuonyesha ghorofa ingine ambayo
ina vyumba viwili kubwa lakini iko mbali zaidi
na stesheni.
La asante.
Ningelipenda kwenda kuona ile ya pili uliyonionyesha.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide