Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamke anaagiza keki ya siku kuu ya kuzaliwa.
Ataagiza keki gani?
Samahani, ningelipenda kuuagiza keki ya siku
kuu ya kuzaliwa ya binti yangu.
Sawa.
Unaweza nieleza ni keki aina gani unayotafuta?
Binti yangu anapenda chokoleti, nadhani keki
ya chokoleti itafaa.
Unaweza weka fuu juu yake?
Hakika.
Tunakeki ya mviringo na ya mraba.
Ungependa ipi?
Hmmm ... ya mviringo, tafadhali.
Sawa.
Binti yako anenda kuwa na miaka mingapi?
Atakuwa na miaka kumi na mbili.
Sawa, basi tutatayarisha mishumaa kumi na
mbili.
Ungelipenda kuandika ujumbe?
Ndiyo, tafadhali andika, ""Sikukuu ya kuzaliwa.""
Sawa, ungelipenda maandishi yawe katika rangi
ya waridi?
Kama ni hivyo, tutaiweka kwa sahani nyeupe.
Vinginevyo, tunaweza kuandika kwa rangi nyeupe,
na kuiweka kwa sahani ya rangi ya waridi.
Tafadhali andikakwa rangi ya waridi na uiweke
kwa sahani nyeupe.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide