Vocabulary

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Notes

Unlock In-Depth Explanations & Exclusive Takeaways with Printable Lesson Notes

Unlock Lesson Notes and Transcripts for every single lesson. Sign Up for a Free Lifetime Account and Get 7 Days of Premium Access.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Transcript

In this video, you'll learn 20 of the most common words and phrases in Swahili.
Hi everybody, my name is Getty.
Welcome to The 800 Core Swahili Words and Phrases video series!
This series will teach you the eight hundred most common words and phrases in Swahili.
Ok! Let's get started! First is…
1.
(NORMAL SPEED)
kikaango
(NORMAL SPEED)
"frying pan"
(NORMAL SPEED)
kikaango
(SLOW)
kikaango
(NORMAL SPEED)
"frying pan"
(NORMAL SPEED)
Kikaango hiki ni bei rahisi.
(NORMAL SPEED)
"This frying pan is very cheap."
(SLOW)
Kikaango hiki ni bei rahisi.
2.
(NORMAL SPEED)
ubao wa kukatia
(NORMAL SPEED)
"cutting board"
(NORMAL SPEED)
ubao wa kukatia
(SLOW)
ubao wa kukatia
(NORMAL SPEED)
"cutting board"
(NORMAL SPEED)
Mpishi anakata yai iliyochemshwa kwenye ubao wa kukatia.
(NORMAL SPEED)
"The cook is cutting a hard-boiled egg on the cutting board."
(SLOW)
Mpishi anakata yai iliyochemshwa kwenye ubao wa kukatia.
3.
(NORMAL SPEED)
sinki
(NORMAL SPEED)
"sink"
(NORMAL SPEED)
sinki
(SLOW)
sinki
(NORMAL SPEED)
"sink"
(NORMAL SPEED)
Mtu yule anasugua sinki.
(NORMAL SPEED)
"The person is scrubbing the sink."
(SLOW)
Mtu yule anasugua sinki.
4.
(NORMAL SPEED)
bakuli
(NORMAL SPEED)
"bowl"
(NORMAL SPEED)
bakuli
(SLOW)
bakuli
(NORMAL SPEED)
"bowl"
(NORMAL SPEED)
Bakuli ni tupu.
(NORMAL SPEED)
"The bowl is empty."
(SLOW)
Bakuli ni tupu.
5.
(NORMAL SPEED)
lango la kutoka
(NORMAL SPEED)
"exit"
(NORMAL SPEED)
lango la kutoka
(SLOW)
lango la kutoka
(NORMAL SPEED)
"exit"
(NORMAL SPEED)
Lango la kutoka liko wapi?
(NORMAL SPEED)
"Where is the exit?"
(SLOW)
Lango la kutoka liko wapi?
6.
(NORMAL SPEED)
ramani
(NORMAL SPEED)
"map"
(NORMAL SPEED)
ramani
(SLOW)
ramani
(NORMAL SPEED)
"map"
(NORMAL SPEED)
Tazama ramani iliujue njia ya kule uendako.
(NORMAL SPEED)
"Check the map to find your way to your destination."
(SLOW)
Tazama ramani iliujue njia ya kule uendako.
7.
(NORMAL SPEED)
sanduku
(NORMAL SPEED)
"suitcase"
(NORMAL SPEED)
sanduku
(SLOW)
sanduku
(NORMAL SPEED)
"suitcase"
(NORMAL SPEED)
Usiwache vitu muhimu katika sanduku lako.
(NORMAL SPEED)
"Do not leave valuables in your suitcase."
(SLOW)
Usiwache vitu muhimu katika sanduku lako.
8.
(NORMAL SPEED)
mtalii
(NORMAL SPEED)
"tourist"
(NORMAL SPEED)
mtalii
(SLOW)
mtalii
(NORMAL SPEED)
"tourist"
(NORMAL SPEED)
Mtalii anachukua picha za wanyama.
(NORMAL SPEED)
"The tourist is taking pictures of the animals."
(SLOW)
Mtalii anachukua picha za wanyama.
9.
(NORMAL SPEED)
siasa
(NORMAL SPEED)
"politics"
(NORMAL SPEED)
siasa
(SLOW)
siasa
(NORMAL SPEED)
"politics"
(NORMAL SPEED)
Mimi hublogu kuhusu siasa na uchumi.
(NORMAL SPEED)
"I blog about politics and the economy."
(SLOW)
Mimi hublogu kuhusu siasa na uchumi.
10.
(NORMAL SPEED)
biolojia
(NORMAL SPEED)
"biology"
(NORMAL SPEED)
biolojia
(SLOW)
biolojia
(NORMAL SPEED)
"biology"
(NORMAL SPEED)
Biolojia ni somo la vitu vinavyoishi.
(NORMAL SPEED)
"Biology is the study of living organisms."
(SLOW)
Biolojia ni somo la vitu vinavyoishi.
11.
(NORMAL SPEED)
kemia
(NORMAL SPEED)
"chemistry"
(NORMAL SPEED)
kemia
(SLOW)
kemia
(NORMAL SPEED)
"chemistry"
(NORMAL SPEED)
Chumba cha sayansi ni mahali pa kusomea kemia.
(NORMAL SPEED)
"The laboratory is a place to learn about chemistry."
(SLOW)
Chumba cha sayansi ni mahali pa kusomea kemia.
12.
(NORMAL SPEED)
fizikia
(NORMAL SPEED)
"physics"
(NORMAL SPEED)
fizikia
(SLOW)
fizikia
(NORMAL SPEED)
"physics"
(NORMAL SPEED)
Najua mambo muhimu ya fizikia.
(NORMAL SPEED)
"I know the basics of physics."
(SLOW)
Najua mambo muhimu ya fizikia.
13.
(NORMAL SPEED)
uchumi
(NORMAL SPEED)
"economics"
(NORMAL SPEED)
uchumi
(SLOW)
uchumi
(NORMAL SPEED)
"economics"
(NORMAL SPEED)
Uchumi ni somo nzuri ya kichini katika somo mengi.
(NORMAL SPEED)
"Economics is a good background for many fields."
(SLOW)
Uchumi ni somo nzuri ya kichini katika somo mengi.
14.
(NORMAL SPEED)
kuweka
(NORMAL SPEED)
"put"
(NORMAL SPEED)
kuweka
(SLOW)
kuweka
(NORMAL SPEED)
"put"
(NORMAL SPEED)
Tafadhali jaribu kuweka sanduku hili juu ya rafu.
(NORMAL SPEED)
"Please try to put this box on the top shelf."
(SLOW)
Tafadhali jaribu kuweka sanduku hili juu ya rafu.
15.
(NORMAL SPEED)
kumbuka
(NORMAL SPEED)
"remember"
(NORMAL SPEED)
kumbuka
(SLOW)
kumbuka
(NORMAL SPEED)
"remember"
(NORMAL SPEED)
Mwanamke anakumbuka nambari.
(NORMAL SPEED)
"The woman remembers the number."
(SLOW)
Mwanamke anakumbuka nambari.
16.
(NORMAL SPEED)
shika
(NORMAL SPEED)
"hold"
(NORMAL SPEED)
shika
(SLOW)
shika
(NORMAL SPEED)
"hold"
(NORMAL SPEED)
Mwanamke hushika dunia.
(NORMAL SPEED)
"The woman holds the globe."
(SLOW)
Mwanamke hushika dunia.
17.
(NORMAL SPEED)
kigari cha ununuzi
(NORMAL SPEED)
"shopping cart"
(NORMAL SPEED)
kigari cha ununuzi
(SLOW)
kigari cha ununuzi
(NORMAL SPEED)
"shopping cart"
(NORMAL SPEED)
Kigari cha ununuzi ni tupu.
(NORMAL SPEED)
"The shopping cart is empty."
(SLOW)
Kigari cha ununuzi ni tupu.
18.
(NORMAL SPEED)
mfuko wa plastiki
(NORMAL SPEED)
"plastic bag"
(NORMAL SPEED)
mfuko wa plastiki
(SLOW)
mfuko wa plastiki
(NORMAL SPEED)
"plastic bag"
(NORMAL SPEED)
Mwanamume amebeba mfuko wa plastiki ulio jaa mboga.
(NORMAL SPEED)
"The man is carrying a plastic bag full of groceries."
(SLOW)
Mwanamume amebeba mfuko wa plastiki ulio jaa mboga.
19.
(NORMAL SPEED)
ucheshi
(NORMAL SPEED)
"comedy"
(NORMAL SPEED)
ucheshi
(SLOW)
ucheshi
(NORMAL SPEED)
"comedy"
(NORMAL SPEED)
Wanatazama ucheshi na kucheka.
(NORMAL SPEED)
"They’re watching a comedy and laughing."
(SLOW)
Wanatazama ucheshi na kucheka.
20.
(NORMAL SPEED)
riwaya
(NORMAL SPEED)
"novel"
(NORMAL SPEED)
riwaya
(SLOW)
riwaya
(NORMAL SPEED)
"novel"
(NORMAL SPEED)
Hii ni riwaya kuhusu malkia wa urembo.
(NORMAL SPEED)
"This is a novel about a beauty queen."
(SLOW)
Hii ni riwaya kuhusu malkia wa urembo.
Well done! In this lesson, you expanded your vocabulary and learned 20 new useful words.
See you next time!
Kwa heri.

Comments

Hide