Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
10 Lines You Need for Introducing Yourself
10 words
Word Image
10 Lines You Need for Introducing Yourself
10 words
Jina langu ni Sharon.
(s)
My name is Sharon.
Mimi natoka Kenya.
(s)
I'm from Kenya.
Ninaishi Nairobi.
(s)
I live in Nairobi.
Nimekuwa nikijifunza Kiswahili kwa mwaka mmoja.
(s)
Iโ€™ve been learning Swahili for a year.
Ninajifunza Kiswahili katika SwahiliPod101.com.
(s)
I'm learning Swahili at SwahiliPod101.com.
Hello, ni vyema kukutana na wewe.
(s)
Hello, it's nice to meet you.
Nina umri wa miaka ishirini na saba.
(s)
I'm 27 years old.
Mimi ni mwalimu.
(s)
I'm a teacher.
Moja ya kozi yangu ni kusoma.
(s)
One of my hobbies is reading.
Napenda kusikiliza muziki.
(s)
I enjoy listening to music.
0 Comments
Top