Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
15 Love Phrases for Valentineโ€™s Day
15 words
Word Image
15 Love Phrases for Valentineโ€™s Day
15 words
Nakupenda.
(s)
I love you.
Una maanisha mengi sana kwangu.
(s)
You mean so much to me.
Je, utakuwa Valentine wangu?
(s)
Will you be my Valentine?
Wewe ni mrembo sana.
(s)
You're so beautiful.
Nakufikiria sana kama zaidi ya rafiki.
(s)
I think of you as more than a friend.
Mioyo mia itakuwa chache sana kubeba upendo wangu wote kwako.
(s)
A hundred hearts would be too few to carry all my love for you.
Upendo ni upendo tu. Haiwezi kuelezwa.
(s)
Love is just love. It can never be explained.
Unasura nzuri sana.
(s)
You're so handsome.
Nimekupenda.
(s)
I've got a crush on you.
Unanifanya nataka kuwa mwanamume bora.
(s)
You make me want to be a better man.
Wacha yote unayofanya, ufanye kwa upendo.
(s)
Let all that you do be done in love.
Wewe ni mwanga wangu, upendo wangu.
(s)
You are my sunshine, my love.
Maneno hayawezi kueleza upendo wangu kwako.
(s)
Words can't describe my love for you.
Tunakusudiwa tuwepamoja.
(s)
We were meant to be together.
Kama unafikiri kuhusu mtu unaposoma hii, hakika uko kwa penzi.
(s)
If you were thinking about someone while reading this, you're definitely in love.
0 Comments
Top