Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Most Common Fixed
50 words
Word Image
Most Common Fixed
50 words
wiki
(n)
week
Kuna masiku saba kwa wiki.
There are seven days in a week.
mwaka
(n)
year
mwaka moja
one year
sekunde
(n)
second
kuna sekunde hamsini na nane zilizobaki kwenye saa.
There are fifty eight seconds left on the stopwatch.
saa
(n)
hour
Kuna sekunde (60) sitini kwa dakika moja.
There are sixty seconds in a minute.
dakika
(n)
minute
Kuna sekunde (60) sitini kwa dakika moja.
There are sixty seconds in a minute.
maji
(n)
water
kahawa
(n)
coffee
Birika la kahawa limejaa kahawa.
The coffee pot is full of coffee.
pombe
(n)
beer
Hadimu anamwaga pombe chachu.
The bartender is pouring a draft beer.
barafu
(n)
ice
barafu mchemramba zinazoyeyuka
melting ice cubes
chai
(n)
tea
mfuko wa chai
tea bag
mama
(n)
mother
Watoto wanabusu mama yao.
The children are kissing their mother.
baba
(n)
father
Baba Mario ni nani?
Who is Mario's father?
mume
(n)
husband
Mume wangu mpendwa ananipikia.
My beloved husband is cooking for me.
mke
(n)
wife
mume na bibi
husband and wife
kijana
(n)
son
Mimi nilimtuma mwanangu kusoma nchini London.
I sent my son to study in London.
binti
(n)
daughter
Huyu ni binti yangu.
This is my daughter.
samaki
(n)
fish
Samaki mbichi
raw fish
nyama ya ng'ombe
(n)
beef
mnofu wa nyama
beef steak
nyama ya nguruwe
(n)
pork
Nyama ya nguruwe ni nyama inayopatikana kutoka kwa nguruwe.
Pork is the meat from a pig.
nyama ya kuku
(n)
chicken
supu ya kuku
chicken soup
jikoni
(n)
kitchen
Mimi husafisha jikoni.
I cleaned up the kitchen.
bafu
(n)
bathroom
Bafu liko mwisho wa njia ya ukumbi.
The bathroom is at the end of the hallway.
tarakilishi
(n)
computer
tarakilishi la dawati
desktop computer
kitanda
(n)
bed
Mwanamke anapumzika kwenye kitanda.
The woman is resting in the bed.
sofa
(n)
sofa
sofa hii ni starehe
This sofa is very comfortable.
0 Comments
Top