Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Airplane
21 words
Word Image
Airplane
21 words
daraja la kwanza
(p)
first class
viti vya daraja la kwanza
first class seat
ukanda wa usalama
(p)
seat belt
Mwanamume anafunga ukanda wa usalama.
The man is buckling the seatbelt.
kiti
(n)
seat
Kiti cha ndege.
airplane seat
nambari ya kiti
(p)
seat number
kiti namabri 7C
seat number 7C
mhudumu wa ndege
(p)
flight attendant
muhudumu wa ndege wa kike
female flight attendant
pilo
(p)
pillow
pilo kwenye kiti
pillow on the seat
tofauti ya wakati
(p)
time difference
kizunguzungu
(n)
motion sickness
dawa ya ugonjwa wa kusafiri
motion sickness medicine
daraja la tatu
(p)
economy class
nafasi katika daraja la tatu.
economy class seats
blanketi
(n)
blanket
blanketi ya ndege.
airplane blanket
mfuko wa utapishi
(p)
sick bag
tapika kwenye mfuko wa kutapika
vomit in a sick bag
chumba
(p)
cabin
chumba cha ndege
airplane cabin
mlango wa dharura
(n)
emergency exit
kiti kwenye njia ya kati
(p)
aisle seat
Napendelea kiti kwenye njia ya kati.
I prefer an aisle seat.
kiti kado na dirisha
(p)
window seat
kiti kando ya dirisha kwenye ndege
window seat in a plane
rubani
(n)
pilot
Rubani wanapaisha ndege.
The pilots are flying the plane.
safari kwa ndege
(p)
flight
kibali cha safari kwa ndege.
boarding pass for the flight
ndege
(n)
airplane
Ndege linapaa angani.
The airplane is flying in the sky.
chombo cha kuelea
(p)
flotation device
Mwanamke anaelezea jinsi ya kupuliza chombo cha kuelea.
The woman is demonstrating how to inflate the flotation device.
jaketi ya uhai
(p)
life jacket
jaketi la uhai la rangi chungwa.
orange lifejacket
buti
(n)
overhead storage compartment
sehemu ya juu ya buti iliyotupu.
empty overhead storage compartment
0 Comments
Top