Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Around Town
10 words
Word Image
Around Town
10 words
benki
(n)
bank
benki nzee
old bank
posta
(n)
post office
Posta hufunguliwa hadi saa kumi na moja jioni.
The post office is open until 5PM.
maktaba
(n)
library
Nasoma katika maktaba.
I am studying at the library.
supamaketi
(n)
supermarket
Ulinunua nini katika supamaketi?
What did you buy at the supermarket?
kituo cha polisi
(p)
police station
Magari ya polisi yameegeshwa nje ya kituo cha polisi.
The police cars are parked outside the police station.
duka la dawa
(p)
pharmacy
Mchanganyaji dawa anafanya kazi kwenye duka la dawa.
The pharmacist is working at the pharmacy.
ukumbi wa sinema
(p)
movie theater
Watu wanatazama sinema kwenye ukumbi wa sinema.
The people are watching a movie at a movie theater.
hospitali
(n)
hospital
jengo la hospitali
hospital building
duka
(n)
convenience store
Duka lenyewe linafunguliwa siku nzima.
The convenience store is open 24 hours.
chumba cha kuoka mikate
(p)
bakery
Je, kunacho chumba cha kuoka hapa karibu?
Is there a bakery around here?
0 Comments
Top