Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
At the Gym
46 words
Word Image
At the Gym
46 words
kuvuta
(v)
pull
Bwana wake alivuta kijikiti.
The husband pulled the sled.
taulo
(n)
towel
Taulo hii ni ndogo sana kwangu.
This towel is too small for me.
kuchuchumaa
(v)
squat
Mwanamume anachuchumaa.
The man is squatting.
ukumbi wa mazoezi
(p)
gym
ukumbi wa mazoezi wa shule
school gym
nyepesi
(a)
light
Mfuko mkubwa unafana mzito, lakini ni mwepesi sana.
The big bag looks heavy, but it's really light.
nzito
(a)
heavy
vifaa vizito
heavy materials
kukimbia
(v)
run
Mwanamke alikimbia kwenye mkondo wake.
The woman ran on the track.
kuruka
(v)
jump
Mwanamume yule huruka juu ya mlima.
The man jumps on top of the mountain.
bega
(n)
shoulder
Bega langu la kulia linauma.
My right shoulder hurts.
kusukuma
(v)
push
Mfanyikazi wa ofisi anasukuma kifungo.
The office worker is pushing the button.
misuli
(n)
muscle
Misuli yangu inadonda
My muscles are sore.
jasho
(n)
sweat
kutoka jasho sana.
sweating heavily
bwawa
(n)
pool
Mlinzi analinda bwawa.
The lifeguard is watching the pool.
mgongo
(n)
back
Mgongo wangu unauchungu.
My back hurts.
kabati cha kufungwa
(n)
locker
zoezi
(v)
exercise
fanya zoezi kwenye sakafu
exercise on the floor
kifua
(n)
chest
Kifua kinaniuma.
I have chest pain.
mizani
(n)
weights
Bwawa limefunguliwa leo?
(e)
Is the pool open today?
Unaweza tumia hii.
(e)
Can I use this?
Umemaliza?
(e)
Are you finished?
kifaa cha uzani cha mazoezi
(p)
dumbbell
kunyoosha
(v)
stretch
duguda
(v)
jog
kiongezi
(n)
supplement
0 Comments
Top