Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Vocabulary Lists Body Parts in Swahili

Body Parts in Swahili

Sehemu za Mwili
20 Words 5 Comments
muscle
misuli (n)
muscle
Misuli yangu inadonda
My muscles are sore.
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
bone
mfupa (n)
bone
Mifupa yako yako chini ya ngozi lako.
Your bones are beneath your skin.
Hide 0 More ExamplesHide 1 More Example
backbone
uti wa mgongo (n)
backbone
Uti wa mgongo unamifupa zingine ndogo.
The backbone is made up of several smaller bones.
Hide 0 More ExamplesHide 1 More Example
head
kichwa (n)
head
Vaa mrembe kulinda kichwa chako.
Wear a helmet to protect your head.
Hide 0 More ExamplesHide 1 More Example
neck
shingo (n)
neck
Mimi nimepata maumivu ya shingo yangu.
I've got a pain in my neck.
Hide 4 More ExamplesHide 5 More Examples
foot
mguu (n)
foot
mguu wa kushoto.
left foot
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
ankle
kifundo cha mguu
ankle
sthtua kifundo
sprain an ankle
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
leg
mguu (n)
leg
miguu mirefu.
long legs
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
arm
mkono (n)
arm
elbow
kiwiko (n)
elbow
kunjika kwa kumbo.
bend an elbow
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
wrist
fundo la mkono (n)
wrist
konde na kifundo cha mkono.
fist and wrist
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
hand
kiganja cha mkono
hand
Mtoto anainua mkono wake.
The child is raising his hand.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
finger
kidole (n)
finger
Kidole changu kinatokwa na damu.
My finger's bleeding.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
blood
damu (n)
blood
stomach
tumbo (n)
stomach
Tumbo linaniuma.
I have a stomach ache.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
chest
kifua (n)
chest
Kifua linaniuma.
I have chest pain.
Hide 0 More ExamplesHide 1 More Example
body
mwili (n)
body
Mwili wa binadamu.
human body
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
back
mgongo (n)
back
Mgongo wangu unauchungu.
My back hurts.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
skin
ngozi (n)
skin
Najiskia kujikuna kwa ngozi yangu.
My skin itches.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
knee
goti (n)
knee
Mvulana alianguka na kukwaruza mguu wake.
The boy fell and scraped his knees.
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
None of our words match your filter
5 Comments
Please to leave a comment.
😄 😞 😳 😁 😒 😎 😠 😆 😅 😜 😉 😭 😇 😴 😮 😈 ❤️️ 👍

SwahiliPod101.comVerified
Tuesday at 4:59 pm
Pinned Comment
Your comment is awaiting moderation.

How many words in our list do you already know? Let us know in the comment section below!


P.S., For more words related to body parts, check out this lesson:

https://www.swahilipod101.com/swahili-vocabulary-lists/body-describing-the-body

SwahiliPod101.comVerified
Saturday at 12:24 pm
Your comment is awaiting moderation.

Jambo Ben,

Bado naangalia zoezi lako. Nitakujulisha hivi karibuni.


Joshua

Team SwahiliPod101.com

SwahiliPod101.comVerified
Saturday at 12:18 pm
Your comment is awaiting moderation.

Jambo Ben,


Natumai uko vyema. "I hope you are fine". Yes you are right. Continue enjoying your swahili learning experience.


Joshua

Team SwahiliPod101.com

Ben
Saturday at 6:14 pm
Your comment is awaiting moderation.

Misuli yangu inadonda > Is there really a verb "kudonda" or have you just used the noun "donda" (sore, ulcer) by mistake?


Ukibeba uzito, unaweza kujega misuli yako. > You missed the "n" in "kujenga", and surely "if you lift weights" is "ukiinua vyuma" or "ukinyanyua vyuma".


Mifupa yako yako chini ya ngozi lako. > "Mifupa yako iko chini ya ngozi yako" (The recording says "Mifupa yako chini ya ngozi yako")


Uti wa mgongo unamifupa zingine ndogo. > Uti wa mgongo una mifupa nyingine/zingine ndogo. "The backbone has other small bones." > Uti wa mgongo una mifupa nyingi ndogo.


Vaa mrembe kulinda kichwa chako. > Va helmeti / kofia ya chuma (ili) kulinda kichwa chako. (Mrembe is a sharp spear or a helmet with a spear on top.)


Mimi nimepata maumivu ya shingo yangu. > The recording says "Mimi nimepata maumivu ya shingo na mguu."


shingo linalokuna. > the recording says "shingo linalonyewa"


Mwanamke anashingo linalokuna. > Mwanamke ana shingo linalokuna. (The woman has a neck which scratches?)


Mguu una vidole vitano. > the recording says "tano" instead of "vitano"


sthtua kifundo > shtua kifundo


Mwanariadha alisthtua kifundo chake. > Mwanariadha alishtua kifundo chake.


Mwanamke anaosha mguu wake. > The recording has made it plural, with "miguu yake"


Mikono haya miwili yameinuliwa. > Mikono hii/hiyo miwili imeinuliwa.


kunjika kwa kumbo. > ??????????? kiwiko?


Mkono hukunjika mmoja tuu wa kumbo. > The recording says "Mkono hukunjika pahali mmoja tu wa kumbo." but that should be "pahali/mahali pamoja" ... and ... does this really mean "one way"? It seems to mean "in one place". And "tu" has only one "u".


Mchezaji yu nje kwaajili ya kuumia kwa kifundo chake cha mkono.mkono wake. > Mchezaji yu nje kwa ajili ya kuumia kwa kifundo chake cha mkono.


Mtoto anainua mkono wake. > The recording incorrectly says "mkono yake"


Kidole kimefinywa kwenye glasi. > The recording says "bilauri" instead of "glasi"


tarakibu la tumbo > the audio file incorrectly says "tarabiku"


Kifua linaniuma. > Kifua kinaniuma.


Mwili na moyo. > nafsi? roho?


Mgongo wangu unauchungu. > Mgongo wangu una uchungu / Mgongo wangu una(ni)uma.


Mimi huumiza mgongo wangu kwa kubeba vitu vizito siku nzima. > I think "Niliumiza ..." would be a more natural interpretation of the translation.


Mgongo wa kalunguyeye limefunikwa na micheche kali. > ... umefunikwa ...


Najiskia kujikuna kwa ngozi yangu. > Najisikia ...


Ngozi ndilo sehemu kubwa mwilini. > Ngozi ndiyo sehemu kubwa (zaidi) mwilini. / Ngozi ndiyo kiungo kikubwa (zaidi) mwilini.

Ben
Saturday at 5:25 pm
Your comment is awaiting moderation.

"Mikono haya miwili yameinuliwa." should be "Mikono hii/hiyo miwili imeinuliwa", shouldn't it? "Mikono" is class 4, not class 6.