Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Break up quotes
14 words
Word Image
Break up quotes
14 words
Kuwa peke yako ni bora kuliko kuwa na mtu mbaya
(s)
Being with no one is better than being with the wrong one.
Kwa wakati mmjoja kwa maisha yako, utakuja kufahamu kuwa watu wengine wanaweza ishi kwa moyo lakini si kwa maisha yako.
(s)
At some point in your life, you will become aware that some people can stay in your heart but not in your life.
Huwezi paa na bawa limevunjika, na pia huwezi penda na moyo umevujika.
(s)
You cannot fly with broken wings, and you cannot love with a broken heart.
Mapenzi ni nipe na kuchukua lakini ulichukua yote.
(s)
This love game is give and take but you took everything!
Hauwezi niharibu mimi.
(s)
You cannot destroy me.
Nyota haziwezi ng'aa bila giza.
(s)
Stars can't shine without darkness.
Wakati mwengine, vitu mzuri hujitenga, na vitu bora pia haweza jitenga.
(s)
Sometimes good things fall apart, so better things can fall together.
Siku moja kuwa na maana.
(s)
Someday it's going to make sense.
Ningetamani ukanyage lego
(s)
I hope you step on a lego.
Nina mamlaka ya vile na hisi, na nimechagua furaha.
(s)
I am in charge of how I feel, and today I am choosing happiness.
Kama mtu ni pumbazu kabisa kuondoka, kuwa mjanja wacha aende.
(s)
If someone is stupid enough to walk away, be smart enough to let him or her go.
Kuna tofauti kati ya kuachilia iende na kujifanya umesahau.
(s)
There is a difference between letting go and pretending you have forgotten.
Wakati mwingine lazima usahau unavyohisi kukumbuka unayostahili.
(s)
Sometimes you must forget what you feel and remember what you deserve.
Yote niliyotaka ni kuwa wako kwa kila kitu.
(s)
All I ever wanted was to be your everything.
0 Comments
Top