Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Which Adjective Describes Your Personality Best? PART 2
35 words
Word Image
Which Adjective Describes Your Personality Best? PART 2
35 words
kuchekesha
(a)
humorous
hadithi ya kuchekesha
humorous story
shupavu
(a)
energetic
mnenaji shupavu
energetic speaker
mwenye hasira
(p)
short-tempered
mtu mwenye hasira
short-tempered person
mpole
(a)
polite
mkali
(a)
strict
mwalimu mkali
strict teacher
dhihirisha
(a)
outstanding
Tazamo lake kwenye mtindo ni wa kuridhisha.
Her sense of a fashion is outstanding.
maarufu
(a)
popular
mwanamume maarufu
popular man
wazi
(a)
open
Alikuwa wazi na wakukubali watu wote wapya aliye kutana nao.
He was open and accepting of all the new people that he met.
uliokithiri
(a)
extreme
mwerevu
(a)
clever
Inanibidi ni kiri kuwa Bintiye Zhang ni mtu mwerevu.
I have to admit, Manager Zhang's daughter is a clever person.
muujiza
(a)
remarkable
Anamuujiza mwangavu kwenye jicho lake alipoongea kukuhusu.
There was a remarkable gleam in her eye when she talked about you.
mwenye bashasha
(p)
lively
Wachumba wenye bashasha.
lively couple
epesi
(a)
active
mtoto mwepesi
active child
mwaminifu
(a)
honest
Yeye ni mtu mwaminifu
He is an honest person.
mjanja
(a)
sly
hatua janja
cunning move
mwaminifu
(a)
diligent
kasirisha
(v)
annoying
mtu anayekasirisha
annoying person
jivunia
(v)
proud
Wazazi waliojivunia wanafuraha.
The proud parents were happy.
iliyosafishwa
(a)
refined
kifahari
(a)
elegant
mchangamfu
(a)
warm
Yeye ni mtu mchamgamfu.
She is a warm person.
enye busara
(a)
wise
ajabu
(a)
great
mwenye kujali
(a)
considerate
onyesha shauku
(a)
enthusiastic
0 Comments
Top