Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Natural Disasters
11 words
Word Image
Natural Disasters
11 words
mafuriko
(n)
flood
Gari, mtindo wa jip, linasukumiza katika mafuriko.
The jeep is pushing through the flood.
tufani
(n)
typhoon
Kibunga kimetokea.
The typhoon has hit.
doruba
(n)
thunderstorm
Doruba linaangaza mwitu uliogiza.
The thunderstorm is lighting up the dark forest.
tufani
(n)
hurricane
Tufani linapulizika ndani kutoka kwenye bahari.
The hurricane is blowing in from the sea.
kibunga
(n)
tornado
Kimbuga kinasongea prairie.
The tornado is twisting across the prairie.
tetemeko
(n)
earthquake
Tetemeko linatetemesha ardhi.
The earthquake is shaking the ground.
tsunami
(n)
tsunami
Pigwa na tsunami.
hit by tsunami
tufani la mchanga
(n)
sandstorm
Tufani la mchanga la ghafla.
sudden sandstorm
moto
(n)
fire
Moto unaowaka.
burning fire
ukame
(n)
drought
Dalili ya ukame.
drought conditions
poromoko
(n)
avalanche
Poromoko limeharibu hoteli ya ski, kwa bahati nzuri hakuna aliye umia.
The avalanche destroyed the ski resort, but luckily, nobody was hurt.
0 Comments
Top