Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Economics: Common Terms
30 words
Word Image
Economics: Common Terms
30 words
kiwanda
(n)
enterprise
Kiwanda kinamaanisha biashara.
Enterprise means business.
pesa
(n)
money
Pesa hutumika kulipa bidhaa na huduma.
Money is used as payment for goods and services.
mwanabiashara
(n)
entrepreneur
Mwanabiashara anakutana na mshirika wake wa biashara.
The entrepreneur is meeting with a business partner.
Kodi
(n)
tax
bidhaa vya kuuzwa nje
(p)
export
bidhaa kutoka nchi za ng`ambo
(p)
import
hasara
(n)
loss
mfumuko wa bei
(n)
inflation
Pato la taifa
(n)
Gross Domestic Product
uvujaji wa uchumi
(n)
deflation
ugavi
(n)
supply
biashara
(n)
trade
thamani
(n)
value
Soko la hisa
(n)
stock exchange
gharama
(n)
expense
mapato
(n)
income
faida
(n)
profit
mshirika
(n)
shareholder
mahitaji
(n)
demand
akiba
(n)
savings
deni
(n)
debt
upatikanaji
(n)
acquisition
mkopo
(n)
loan
mkataba
(n)
treaty
hisa
(n)
stock
0 Comments
Top