Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Essential Idioms That Will Make You Sound Like a Native Speaker
14 words
Word Image
Essential Idioms That Will Make You Sound Like a Native Speaker
14 words
Anayetoa kwa hiari, hupokea bila haya; anayetoa kwa shingo upande hupotenza pia hedhi
(p)
When someone gives something with a clean heart, he will always get more. But when someone gives without a clean heart, he loses everything
Inayofichwa moyoni ndio siri; ikisemwa hata kwa kimya sio siri tena
(p)
Do not tell someone a secret because he will tell someone else
Endelea kugonja vya mbali; vya karibu ulividharau sasa unaviona kwa umbali
(p)
Pick something you can see even if it's small instead of choosing big things you cannot see
Hukomi kucheka kwa sababu umezeeka; unazeeka kwa sababu umeacha kucheka
(p)
Help someone if you can because a time will come when you will wish to give but you can't
Heri kuambiwa ukweli unaozua uchungu; kuliko kwambiwa uongo unaokufurahisha
(p)
It's good to be told the truth even if it hurts because the truth will come out eventually
Tamani vikubwa lakini jua zina uzito; kama unaunyonge ridhika na vyembamba
(p)
If you desire to have many things, keep in mind they come with costs
Rafiki mjue kwa udani; adui mfahamu kwa njia na sura
(p)
Know your enemies more than your friends
Shida hukunoa akili; raha hukutia kutu
(p)
You learn through bad times but not in good times
Moto utauzima kwa maji; lakini maji yakikuzidi hutayazuiya kwa moto.
(p)
There are people you can help without expecting a favor from them
Heri kuwa na wachache unaowajua; kuliko kuwa na wengi wasiokujua.
(p)
It's better to have few supportive friends than many unsupportive friends
Ukiwa hai hatutajua mazuri yako; lakini ukifa hata mabaya tutayajua
(p)
Not everyone will appreciate you when you are alive
Salamu hazishibishi; lakini kosa kuzitoa ama kuzijibu
(p)
It is wise to greet people all the time
Lugha ya kicheko ni moja; inaeleweka bila kujali kabila, dini wala jinsia
(p)
It is important to be happy all the time
Wenye macho huona; lakini mwenye hamu hutafuta.
(p)
Having a dream is more important than having your eyes
0 Comments
Top