Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Essential Vocabulary for Talking About Education
17 words
Word Image
Essential Vocabulary for Talking About Education
17 words
mtihani
(n)
test
pita mtihani
pass a test
utafiti
(n)
research
mahabara ya utafiti
research lab
shule ya msingi
(n)
elementary school
wanafunzi wa shule ya msingi
elementary school students
shule ya secondari
(n)
high school
wanafunzi wa secondari
high school students
chuo kikuu
(n)
university
Alipata skolaship nzima kutoka kwa chuo kikuu maarufu.
He received a full scholarship from a famous university.
chuo cha ustadi
(n)
college
Niliishi kwenye bweni kwa miaka yote nne nilipokuwa katika chuo cha ustadi.
I lived in the dormitory for all four years of college.
shahada
(n)
doctorate
Diploma
(n)
diploma
Mwanafunzi
(n)
undergraduate
Aliye hitimu
(n)
postgraduate
shahada
(n)
degree
chekechea
(n)
kindergarten
kidato
(n)
grade
PhD
(n)
PhD
Shahada ya pili
(n)
master's degree
kubadilishana mwanafunzi
(n)
exchange student
Shahada ya kwanza
(n)
bachelor's degree
0 Comments
Top