Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Feeling Happy? Learn The Top 20 Words For Positive Emotions
20 words
Word Image
Feeling Happy? Learn The Top 20 Words For Positive Emotions
20 words
rembo
(a)
beautiful
Yeye ni mrembo.
She is beautiful.
furaha
(n)
happy
Anafanana mwenye furaha siku hizi.
She looks happy these days.
ridhika
(a)
satisfied
hisia za kuridhika
satisfied feeling
tulia
(a)
calm
Mwanamke ametulia.
The woman is calm.
mashuhuri
(a)
great
Tokyo ni mashuhuri.
Tokyo is great.
mwenye bashasha
(p)
lively
Wachumba wenye bashasha.
lively couple
epesi
(a)
active
mtoto mwepesi
active child
mwaminifu
(a)
honest
Yeye ni mtu mwaminifu
He is an honest person.
jivunia
(v)
proud
Wazazi waliojivunia wanafuraha.
The proud parents were happy.
penda
(v)
like
Msichana huyu kwa kweli alipenda vijibwa.
The girl really liked the puppies.
kupenda
(v)
love
Mwanamume alimpenda mwanamke.
The man loved the woman.
starehe
(a)
relaxed
Mwanamume aliyestarehe anapumzika kwenye machela.
The relaxed man is swinging in the hammock.
vutiwa
(v)
interested
Tumbili anayevutiwa anatazama kamera.
The interested monkey is looking into the camera.
chekesha
(a)
funny
Mtu mcheshi anacheza bila chupi.
The funny man is dancing without pants.
cheka
(v)
laugh
Wachumba walichekelea picha.
The couple laughed at the picture.
mwema
(a)
kind
mwoyo mwema
a kind heart
tumaini
(a)
hopeful
Sidhani watakuja, lakini ninamatumaini.
I don't think they'll come, but I'm hopeful.
sisimuka
(v)
excited
Msichana mdogo amejawa na furaha.
The little girl is excited.
mchangamfu
(a)
warm
Yeye ni mtu mchamgamfu.
She is a warm person.
shupavu
(a)
energetic
mnenaji shupavu
energetic speaker
0 Comments
Top