Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Flattering Lines to Impress Native Speakers
16 words
Word Image
Flattering Lines to Impress Native Speakers
16 words
Nchi hii ina utamaduni wenye utajiri.
(s)
This country has a rich culture.
Hii ni nchi nzuri.
(s)
This is a beautiful country.
Wenyeji ni watu wenye urafiki.
(s)
The local people are very friendly.
Chakula chenye ladha tamu.
(s)
The food is delicious.
Mandhari ni ajabu.
(s)
The scenery is amazing.
Usafiri wa umma ni rahisi sana.
(s)
Public transportation is very convenient.
Watu huwa wasaidifu sana.
(s)
People are always very helpful.
Nchi hii ni safi sana.
(s)
This country is very clean.
Kuangalia jua likitua pale ni zuri sana.
(s)
Watching the sunset over here is magical.
Muziki wa wenyeji ni ya kuvutia sana.
(s)
The local music is very interesting.
Kuna asili nyingi sana nchini humu.
(s)
There is so much nature in this country.
Nchi ina hali ya hewa nzuri kila mwaka!
(s)
The country has a comfortable climate throughout the year!
Napenda sauti ya lugha.
(s)
I like the sound of the language.
Historia katika nchi hii ni pana sana.
(s)
The history in this country is so extensive.
Nataka kujifunza zaidi kuhusu mitholojia kutoka nchi hii!
(s)
I want to learn more about mythology from this country!
Sikujua nchi hii ina fasihi mingi hivi!
(s)
I didn't know this country has so much great literature!
0 Comments
Top