Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Food - Fruits and Vegetables
23 words
Word Image
Food - Fruits and Vegetables
23 words
mahindi
(n)
corn
Mboga ninalopenda zaidi ni mahindi kwenye hindi.
My favorite vegetable is corn on the cob.
viazi
(n)
potato
Viazi ni asili muhimu ya chakula cha nguvu kwa watu wengi.
Potatoes are an important source of food energy for many.
ragwesoya
(n)
soybean
Maharagwesoya humea ndani ya matumba.
Soybeans grow inside the pods.
tunda
(n)
fruit
tunda safi
fresh fruit
aprikoti
(n)
apricot
aprikoti tatu zilizokaushwa
three dried apricots
ndizi
(n)
banana
Ndizi zinanguvu katika madini ya potasiam.
Bananas are rich in potassium.
tufaha
(n)
apple
tufaha kijani
green apple
zabibu
(n)
grape
Kichala cha mizabibu nyekundu na kibumba cha mizabibu nyeupe.
a bunch of red grapes and a bunch of white grapes
tikitimaji
(n)
watermelon
tikitimaji nzima na slesi ya tikiti maji
whole watermelon and a slice of watermelon
mzabibu
(n)
grapefruit
mzabibu nzima na slesi ya mzabibu
whole grapefruit and sliced grapefruit
nanasi
(n)
pineapple
nanasi zima
whole pineapple
tikiti
(n)
melon
aina mbili ya tikiti
two types of melon
njugu
(n)
nut
Kuchakulo anakula njugu.
The squirrel is eating a nut.
njugu
(n)
peanut
njugu mbichi
raw peanuts
korosho
(n)
cashew nut
korosho tatu
three cashew nuts
mboga
(n)
vegetable
Mboga ni asili tajiri ya vitamini na madini.
Vegetables are a rich source of vitamins and minerals.
viazi vitamu
(n)
sweet potato
kiazi kitamu nzima na kiazi kitamu kilichokatwa
whole sweet potato and cut sweet potato
karoti
(n)
carrot
Karoti kawaida ni rangi chungwa.
Carrots are usually orange in color.
tanipu
(n)
turnip
majani ya mboga ya tanipu
turnip greens
kitunguu
(n)
onion
Kuna aina nne ya vitunguu: njano na hadharani, nyeupe, nyekundu na tamu.
There are four basic types of onions: yellow and brown, white, red, and sweet.
uyoga
(n)
mushroom
uyoga mbili
two mushrooms
nyanya
(n)
tomato
Nyanya ni tunda.
Tomatoes are fruit.
saladi
(n)
lettuce
Kichwa cha kabichi.
head of lettuce
0 Comments
Top