Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Food - Ingredients
10 words
Word Image
Food - Ingredients
10 words
viungo
(n)
ingredient
Kutumia viungo safi ni muhimu katika mtindo wowote wa upishi.
Using fresh ingredients is an important part of any recipe.
kitunguu saumu
(n)
garlic
kibumba cha kitunguu saumu na karafuu
garlic bulb and cloves
tangawizi
(n)
ginger
Tangawizi kali inatumika kwa upishi na kwa dawa.
The spice ginger is used for cooking and medicine.
mafuta ya zeituni
(p)
olive oil
Taskani, mafuta ya zeituni ni mazuri.
In Tuscany, olive oil is very good.
kiungo
(n)
spice
kitoweo na viungo
seasoning and spices
mchuuzi
(n)
sauce
Mchuzi upo wapi?
Where is the sauce?
mafuta ya mboga
(p)
vegetable oil
mafuta ya mboga ya kupika
vegetable cooking oil
mafuta ya simusimu
(p)
sesame oil
Ongeza mafuta ya simusimu kisha ukarange na kukoroga.
Add sesame oil and stir-fry it.
unga
(n)
flour
mfuko wa unga mweupe
bag of white flour
mafuta ya kupika
(n)
cooking oil
mafuta ya mboga ya kupika
vegetable cooking oil
0 Comments
Top