Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Food Utensils & Tableware
19 words
Word Image
Food Utensils & Tableware
19 words
vyombo vya kukulia
(p)
eating utensil
Uma, vijiko, na visu ni vyombo vya kulia.
Forks, spoons, and knives are eating utensils.
kijiko
(n)
spoon
dawa maji, kijiko na kikombe kidogo cha plastiki
liquid medicine, a spoon and a small plastic cup
uma
(n)
fork
kijiko cha rangi fedha
silver spoon
kisu
(n)
knife
Tafadhali nipishie kisu?
Could you pass me the knife?
kisu cha mnofu
(p)
steak knife
kisu cha mnofu cha kipembe
serrated steak knife
kisu cha kuchonga
(p)
carving knife
kisu cha kinyango kilicho na makali
sharp carving knife
mkamshi
(n)
ladle
mkamshi wa chuma
metal ladle
kuchuma kwa meno
(p)
toothpick
kichokonoo cha mbao
wooden toothpick
sahani
(n)
dish
Niliweka kando sahani.
I put away the dishes.
sahani
(n)
plate
Sahani hii ni chafu.
This plate is dirty.
kikombe
(n)
cup
kikombe cha kahawa
cup of hot cocoa
glasi ya maji
(p)
drinking glass
Mvulana anakunywa glasi ya maji.
The boy is drinking a glass of water.
glasi ya mvinyo
(p)
wine glass
Glasi ya mvinyo imejaa mvinyo mwekundu.
The wine glass is full of red wine.
kikombe cha kahawa
(p)
coffee mug
kikombe cha kahawa cheupe
white coffee mug
jagi
(n)
pitcher
jagi la maji
pitcher of water
birika la kahawa
(p)
coffee pot
birika la kahawa lililojaa
full coffee pot
birika la chai
(n)
teapot
birika njano la chai
yellow ceramic teapot
kikombe cha chai
(p)
teacup
kikombe cha chai na kisahani
teacup and saucer
vijiti vya kukulia
(p)
chopsticks
Vijiti vya kukulia vipo kwenye bakuli.
The chopsticks are on the bowl.
0 Comments
Top