Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Hobbies
20 words
Word Image
Hobbies
20 words
kuchora maandishi
(n)
calligraphy
kalamu ya kuchora maandishi
calligraphy pen
gitaa
(n)
guitar
Unacheza gitaa vizuri sana.
You play the guitar very well.
kukatika
(v)
dance
katika kwenye jukwaa
dance on a platform
kuimba wimbo
(p)
sing a song
Wanaimba wimbo.
They are singing a song.
tarumbeta
(n)
trumpet
tarumbeta ya basi
brass trumpet
fidla
(n)
violin
cheza fidla
play the violin
mziki wa rock
(p)
rock music
imba mziki wa rock
sing rock music
picha
(n)
photo
Hii ni picha ya familia yangu.
This is a photo of my family.
kupiga picha
(p)
take a picture
Tafadhali piga picha.
Please take a picture.
kuchora
(v)
draw
Msanii huchora picha.
The artist draws a picture.
kutumia mtandao
(p)
surf the net
vua samaki
(v)
fish
Wakati wa kiangazi sisi huvua samaki kwenye mto na ziwa nchini.
Every summer we fish for trout in rivers and lakes in the country.
piano
(n)
piano
piano kubwa
grand piano
mtandao
(n)
Internet
mtandao duniani kote
world wide Internet
kuteleza barafuni
(p)
ice skating
kuteleza nje kwa barafu
ice skating outdoors
furahia kufanya unalolipenda
(p)
enjoy a hobby
mchezo wa chess
(p)
play chess
mchezo wa kadi
(p)
play poker
kukusanya stempu
(p)
collect stamps
kucheza kifaa cha mziki
(p)
play a musical instrument
Waweza cheza kifaa cha mziki?
Can you play a musical instrument?
0 Comments
Top