Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Home Electronics
22 words
Word Image
Home Electronics
22 words
choko
(n)
microwave oven
choko cha chuma cha pua kisioganda
stainless steel microwave oven
jiko la stima la kupika mchele
(p)
electric rice cooker
mchele ndani ya jiko la stima la kupika mchele
rice in electric rice cooker
jiko
(n)
oven
safisha joko
clean the oven
friji
(n)
refrigerator
Mwanamume aliye na njaa anatafuta chakula kwenye friji.
The hungry man is looking for food in the refrigerator.
kifyonza
(n)
vacuum cleaner
fagio lililowima
upright vacuum cleaner
kichana cha kukausha nywele
(p)
hair dryer
kichana cha stima cha kukausha nywele
electric hair dryer
tarakilishi
(n)
computer
tarakilishi la dawati
desktop computer
kuwasha
(v)
turn on
Mwanamume anawasha taa.
The man is turning on the light.
kuzima
(v)
turn off
Watoto walizima stima.
The children turned off the power.
tarakilishi la paja
(p)
laptop
Tarakilishi la paja hunisaidia kufanya kazi karibu mahali popote.
The laptop computer allows me to work almost anywhere.
plagi ya umeme
(n)
electric plug
Kishike plagi ya umeme unapokitoa kwenye soketi.
Hold the electric plug while removing it from the socket.
redio
(n)
radio
redio linalobebeka kwa urahisi
portable radio
VCR
(p)
VCR
ukanda wa VCR
VCR tape
mashine ya kuosha nguo
(p)
washing machine
Mimi hutumia mashine ya kuosha nguo kufua.
I use the washing machine to keep my clothes clean.
DVD
(p)
DVD player
kicheza DVD na kiendesha mbali
DVD player and remote control
kicheza rekodi
(p)
record player
rekodi kwa Kicheza rekodi
record on a record player
runinga
(n)
television
Nimenunua runinga bapa ya nchi arobaini
I just bought a 40 inch flat screen television.
pepeo
(n)
fan
pepeo stima
electric fan
kiyoyozi
(n)
air conditioner
Kiyoyozi cha njen ni bei ghali.
External air conditioners are quite cheap.
umeme
(n)
electricity
Natuweke stima akiba kwa kuzima umeme.
Let's save electricity by turning off the power.
tundu ya umeme
(p)
power socket
Tundu nyeupe la umeme
white power socket
kiosha vyombo
(p)
dishwasher
Kesho nitatengeneza kiosha vyombo.
Tomorrow I'll fix the dishwasher.
0 Comments
Top