Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
How to Ask "How Are You?" and Answer It
28 words
Word Image
How to Ask "How Are You?" and Answer It
28 words
Asante.
(e)
Thank you.
asante, lakini
thank you, but
U hali gani?
(e)
How are you?
Mi mzima.
(e)
I'm good.
Ninawasiwasi.
(e)
I'm worried.
Na wewe?
(e)
And you?
Mimi ni mzima.
(e)
I'm fine.
Nina kikohozi.
(e)
I have a cough.
Kichwa kinaniuma.
(e)
I have a headache.
Nahisi mgonjwa.
(e)
I feel sick.
Si hisi vyema.
(e)
I don't feel well.
Niko salama.
(e)
I'm okay.
Sijui
(e)
I don't know.
Siko salama.
(e)
I'm not good.
Nimechoka.
(e)
I'm tired.
Mimi na hisi vibaya.
(e)
I'm feeling bad.
Asante kwa kuuliza.
(e)
Thank you for asking.
Mimi niko mzima pia.
(e)
I'm fine too.
Mimi nina usingizi.
(e)
I'm sleepy.
Mimi niko sawa.
(e)
I'm great.
Umekuwa vipi hivi karibuni?
(e)
How have you been recently?
Sina ubaya.
(e)
I'm not bad.
Nahisi njaa.
(s)
I'm starving.
Nina msokoto wa tumbo wa kutisha.
(s)
I have a terrible stomachache.
Sina uhakika.
(s)
I'm not sure.
Ninajisikia vizuri leo.
(s)
I'm feeling great today.
0 Comments
Top