Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
How to Improve Your Listening Skills
15 words
Word Image
How to Improve Your Listening Skills
15 words
Sikiliza ripoti ya habari au podkasti katika lugha unayoilenga kisha ujaribu kutambua mada ya ripoti kabla ya kusoma kuihusu.
(s)
Listen to a news report or a podcast in the target language then try to identify the topic of the report before reading about it.
Jiunge na kikundi cha majadiliano.
(s)
Join a conversation group.
Tengeneza mkakati wa kusoma na pia anzalisha desturi. .
(s)
Make yourself a study plan and establish a routine.
Tazama sinema katika lugha unayojifunza, hasa kwenye vifaa ambavyo unaweza kutumia kurudisha nyumba sehemu zingine. zilizochaguliwa.
(s)
Watch movies in the language you are studying, especially on devices which you can use to repeat selected scenes.
Angalia maneno ya msingi wakati unasikiliza.
(n)
Look for root words when listening to something.
Tumia mbinu ya kivuli.
(s)
Use the shadowing technique.
Jifunze kusikiliza maneno ya kuandikisha.
(s)
Practice listening to dictations.
Tumia mtandao; imejaa rasilimali za kusikiliza.
(s)
Use the Internet; it is full of listening resources.
Tazama ishara za msemaji wakati unasikiliza.
(s)
Watch the gestures of the speaker while you are listening.
Zingatia msemaji, na epuka vikwazo vyovyote vya ndani na nje.
(s)
Focus on the speaker, avoid any internal or external distractions.
Jaribu kutafuta mada ya kusikiliza ambayo unapenda.
(s)
Attempt to find a listening topic in which you are genuinely interested.
Sikiliza msemaji wa asili na jaribu kuiga maonyesho na matamshi yao.
(s)
Listen to a native speaker and try to imitate their intonation and pronunciation.
Sikiliza muziki kwenye lugha unayojifunza na uchukue maneno na misemo unazozifahamu.
(s)
Listen to music in your target language and pick out familiar words and phrases.
Sikiliza mjadala wa sauti bila kusoma maandishi na kuandika kile unachokisikia.
(s)
Listen to an audio dialogue without reading the text and write down what you hear.
Kusikiliza mjadala na jaribu kuandika maneno usiyotambua, kisha kulinganisha maadishi yako naliyo sahihi.
(s)
Listen to a dialogue and try to correctly write down words you don't recognize, then compare your spelling to the correct spelling.
0 Comments
Top