Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
How to Improve Your Speaking Skills
15 words
Word Image
How to Improve Your Speaking Skills
15 words
Jifunze maneno kupitia misemo.
(s)
Learn words through phrases.
Tazama video zako unazozipenda zikiwa na maadishi.
(s)
Watch your favorite video with subtitles.
Fikiria kwa lugha unayotaka kujifunza.
(s)
Think in the language you want to learn.
Tumia programu zilizopo za kujifunza.
(s)
Use available learning applications.
Panua msamiati wako kwa kusoma.
(s)
Expand your vocabulary by reading.
Jiongeleshe
(s)
Talk to yourself.
Sikiza rekodi ukirudia.
(s)
Listen to recordings and repeat.
Tayarisha desturi yako ya kila siku.
(s)
Prepare for daily routine situations.
Jaribu kufanya mazungumzo yako na msemaji wa asili.
(s)
Try to practice your speaking with a native speaker.
Jua wasikilizaji wako.
(n)
Know your audience.
Uliza maoni na ufikirie juu yake.
(s)
Ask for feedback and reflect on it.
Epuka kusoma moja kwa moja, jaribu kutumia muhtasari.
(n)
Avoid reading directly, try to use an outline.
Kuwa na kasetiza lugha, kisha kurudia yale uliyasikia.
(s)
Shadow language CDs, then repeat what you heard.
Endelea kufanya mazoezi mara kwa mara, ama sivyo kazi yako ngumu itaharibiwa.
(s)
Keep practicing regularly, otherwise your hard work will be wasted.
Usiache na ukae ma tumaini!
(s)
Don't give up and stay positive!
0 Comments
Top