Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Classroom
31 words
Word Image
Classroom
31 words
kiti
(n)
chair
kiti cha ngozi cha rangi hanja
brown leather chair
kazi ya ziada
(n)
homework
Kazi ya ziada ni sehemu muhimu kwa tajiriba yako ya masomo.
Your homework is one important part of the learning experience.
imla
(n)
dictation
imla ya hatimkato
shorthand dictation
ubao mweupe
(n)
whiteboard
ubao mkubwa mweupe
big whiteboard
ubao
(n)
blackboard
ubao wa darasa
classroom blackboard
projekta
(n)
projector
projekta na televisheni
projector and screen
kitabu
(n)
book
mwongozo wa bluu
blue textbook
mtihani
(n)
test
pita mtihani
pass a test
jaribio
(n)
quiz
mtihani wa ghafla
pop quiz
kalamu
(n)
pen
kalamu ya wino
ballpoint pen
shajara
(n)
notebook
shajara lenye mstari mweupe
white lined notebook
penseli
(n)
pencil
Je, naweza kuomba penseli?
Can I borrow a pencil?
kifuto
(n)
eraser
kifuto cha waridi na kijivu
pink and gray eraser
mhadhara
(n)
lecture
Kijana anasikiza mahadhara yanayoudhi.
The young man is listening to a boring lecture.
darasa
(n)
class
darasa la biolojia
biology class
mwongozo
(n)
textbook
Tafadhali, yafungueni miongozo yenyu katika ukurasa wa kumi.
Please open your textbook to page ten.
swali
(n)
problem
Jibu swali la hesabu.
Answer the math problem.
swali
(n)
question
Jaribu kufikiri kuhusu swali hilo.
think about the question
mwanafunzi
(n)
student
Yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
She is a university student.
mwalimu
(n)
teacher
mwalimu darasani
teacher in a classroom
meza
(n)
table
meza ya mbao
wooden table
chaki
(n)
chalk
chaki la rangi
colored chalk
karatasi
(n)
paper
Paka gamu kwenye karatasi.
Apply glue to the paper.
kalamu ya wino
(p)
marker
kalamu nyeusi ya wino
black marker
kamusi
(n)
dictionary
Nina kamusi ya Kingereza na Kifaransa.
I have an English-French dictionary.
0 Comments
Top