Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Jobs / Work
22 words
Word Image
Jobs / Work
22 words
mhudumu wa ndege
(p)
flight attendant
muhudumu wa ndege wa kike
female flight attendant
mkurugenzi
(n)
director
Yeye ndiye mkurugenzi wa kampuni yangu.
He's the director of my company.
muuguzi
(n)
nurse
muuguzi wa kike
female nurse
wakili
(n)
lawyer
wakili katika mahakama
lawyer in a courtroom
karani
(n)
clerk
Karani wa duka anampa mteja chenji na mfuko wa bidhaa.
The store clerk is giving the customer change and the bag of goods.
afisa wa polisi
(n)
police officer
afisa wa polisi kwa nguo rasmi
police officer in uniform
mhasibu
(n)
accountant
Mhasibu wangu anaelewa gharama na makadirio yangu kunishinda.
My accountant understands my expenses and bills better than I do.
mfanyikazi wa ofisi
(p)
office worker
mfanyikazi wa ofisi wa muda
part-time office worker
mkulima
(n)
farmer
mkulima shambani
farmer on a farm
mpishi
(n)
cook
Yeye ni mpishi katika mgahawa wa daraja la nne.
She is a cook at a four-star restaurant.
mama
(n)
housewife
Mama hawa wananunua katika supamaketi.
The housewives are shopping at the supermarket.
mfanyikazi wa kiwanda
(p)
factory worker
mfanyikazi wa muda wa kiwanda
full time factory worker
mhandisi
(n)
engineer
Mimi ni mhandisi.
I am an engineer.
daktari
(n)
doctor
Daktari anachunguza mguu.
The doctor is examining the foot.
rais
(n)
president
rais wa kampuni
company president
katibu
(n)
secretary
katibu wa shughuli nyingi
busy secretary
meneja
(n)
manager
Meneja wa idara anapeana maagizo.
The factory manager is giving instructions.
mfanyikazi wa kampuni
(p)
company worker
Mfanyikazi wa kampuni ndiye moyo wa oparesheni za kampuni.
A company worker is the heart of the company's operation.
mfanyibiashara
(n)
businessman
Mfanyibiashara aliyejaa wasiwasi anangojea mahojiano.
The nervous businessman is waiting for the interview.
profesa
(n)
professor
profesa wa hesabu
math professor
mzima moto
(n)
firefighter
mzima moto na kizima moto
firefighter with a fire extinguisher
mwanariadha maarufu
(p)
professional athlete
mwanariadha maarufu anayelipwa mshahara wa juu
high-paid professional athlete
0 Comments
Top