Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Life Events
19 words
Word Image
Life Events
19 words
siku ya kuzaliwa
(p)
birthday
Sherehekea siku ya kuzaliwa
birthday party
kununua
(v)
buy
Wachumba hawa hununua nguo.
The couple buys clothes.
kustaafu
(v)
retire
kustaafu kutoka kwa kampuni
retire from a company
mahafali
(n)
graduation
Mwanafunzi anahudhuria sherehe ya mahafali.
The student is attending the graduation ceremony.
panda cheo
(p)
promotion
Pokea kupandishwa cheo.
receive a promotion
makumbusho
(n)
anniversary
Sherehekea makumbusho.
celebrate an anniversary
matanga
(n)
funeral
Sherehe ya matanga.
funeral ceremony
safiri
(v)
travel
Baada ya kuhitimu, nitasafiri duniani kwa mwaka moja.
After I graduate, I will travel the world for one year.
hitimu
(v)
graduate
Baada ya kuhitimu, nitasafiri duniani kwa mwaka moja.
After I graduate, I will travel the world for one year.
harusi
(n)
wedding
Sherehe ya harusi.
wedding ceremony
hama
(v)
move
Nilihamia mtaani mwaka jana.
I moved to the suburbs last year.
kuzaliwa
(p)
be born
Nilizaliwa mwaka wa 1980.
I was born in 1980.
pata kazi
(p)
get a job
kufa
(v)
die
Alikufa kwa ajili ya ajali mwaka jana.
He died in an accident last year.
nyumbani
(n)
home
Makao mapya
new home
kazi
(n)
job
Nilianza kazi hii mwaka jana.
I started this job last year.
zaa
(n)
birth
Kuzaliwa kwa watoto.
birth of child
posa
(v)
engage
Umeposwa? Hongera!
Are you engaged? Congratulations!
oa
(v)
marry
Ninataka kukuoa.
I want to marry you.
0 Comments
Top