Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Mammals
30 words
Word Image
Mammals
30 words
mbwa
(n)
dog
mbwa hadharangi na mbwa mweusi
a brown dog and a black dog
paka
(n)
cat
Paka wa mistari anacheza na uzi mwekundu.
The striped cat is playing with red yarn.
panya
(n)
mouse
Panya mwenye rangi hadharani.
brown mouse
ng'ombe
(n)
cow
Ng'ombe yuko malishoni.
The cow is in the field.
nguruwe
(n)
pig
Nguruwe anauuguza vinguruwe.
The pig is nursing the piglets.
farasi
(n)
horse
farasi yuko uwanjani
horse in a field
kondoo
(n)
sheep
Mkulima ananyoa kondoo.
The farmer is shearing the sheep.
mbuzi
(n)
goat
Mbuzi yuko malishoni.
The goat is in the meadow.
sungura
(n)
rabbit
Sungura kwenye uwanja.
The rabbit is in the field.
rusu
(n)
deer
Rusu kiume ana pembe.
Male deer have antlers.
ndovu
(n)
elephant
Niliona ndovu kwenye bunga la wanyama.
I saw an elephant at the zoo.
twiga
(n)
giraffe
Twiga wanakula matawi ya mti katika mbuga la wanyama.
The giraffes are eating leaves from a tree in a zoo.
simba
(n)
lion
Simba anasimama kisha anaendelea kutembea.
The lion pauses and then continues walking.
duma
(n)
cheetah
Duma anatafuta chakula kwenye nyika.
The cheetah is searching for food in the grassland.
punda mlia
(n)
zebra
Punda mlia wanakuna shingo zao.
The zebras are rubbing their necks.
nyati
(n)
buffalo
Nyati wanaforomaliana.
The buffalos are playfully sparring with each other.
tumbili
(n)
monkey
Tumbili wanakula wadudu kwa kijiti.
The monkeys are eating ants with a stick.
paka mwitu
(n)
jaguar
Paka mitu wanastarehe kwenye kivuli.
The jaguars are relaxing in the shade.
gorila
(n)
gorilla
Gorila anaelekea chini ya msitu.
The gorilla is walking down a path in the jungle.
rakun
(n)
raccoon
Mbweha anakula jungu kwenye msitu.
The raccoon is eating peanuts in the forest.
ngiri
(n)
wild boar
Ngiri wanatafuna nyasi.
The wild boars are chewing the grass.
fuko
(n)
beaver
Fuko anatafuna mbao kwenye maji kame.
The beaver is gnawing wood in the shallow water.
mbwa
(n)
wolf
Mbwa anaye nyagonyago.
howling wolf
popo
(n)
bat
Popo wanabembea kwenye tawi wakila tikiti.
The bats are hanging from a branch eating watermelon.
bea
(n)
bear
Bea anakimbia kwenye mto.
The grizzly bear is running in the river.
0 Comments
Top