Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Marriage Proposal Lines in Swahili
13 words
Word Image
Marriage Proposal Lines in Swahili
13 words
Hebu Tuishi Maisha Yetu Yote Ya Usoni Pamoja.
(s)
Letโ€™s spend the rest of our lives together.
Nataka kuwa mzee na wewe.
(s)
I want to grow old with you.
Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe ndani yake.
(s)
I can't imagine my life without you in it.
Kuwa na wewe kwa upande wangu kunanikamilisha.
(s)
Having you by my side is what completes me.
Kabla nikutane na wewe, sikujua jinsi maisha yangu yalikuwa bure.
(s)
Before I met you, I never realized how empty my life was.
Sasa ninajua kwamba wewe na mimi hakika tunafaa kuwa pamoja.
(s)
I now know that you and I are truly meant to be together.
Ningependa kukupa kila kitu, lakini natumai ya kwamba pete hii inatosha.
(s)
I wish I could give you everything, but I hope that this ring is enough.
Je, wewe utanifanya mimi kuwa mwanamme mwenye furaha sana aliye hai?
(s)
Will you make me the happiest man alive?
Je, utanifanya heshima ya kuwa mke wangu?
(s)
Will you do me the honor of becoming my wife?
Nataka kuwa na wewe milele.
(s)
I want to be with you forever.
Ni wewe nimekuwa nikisubiri kwa maisha yangu yote.
(s)
You are the one I've been waiting for my whole life.
Sisi tunafaa kuwa pamoja.
(s)
We are meant to be together.
Wewe utafunga ndoa na mimi?
(s)
Will you marry me?
0 Comments
Top