Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Medicine and Medical Treatments
15 words
Word Image
Medicine and Medical Treatments
15 words
dawa
(n)
medicine
Daktari alinipa dawa ya tumbo yangu iliyouma.
The doctor gave me medicine for my stomach pain.
Rudi kwa wiki.
(e)
Come back in a week.
Hii inaosha kwa wiki moja.
(e)
This is enough for one week.
Kula kabla ya mlo.
(e)
Take before a meal.
Meza baada ya mlo.
(e)
Take after a meal.
Ongea kwa maji.
(e)
Take with water.
Meza hizi mara tatu kwa siku.
(e)
Take this three times a day.
oparesheni
(n)
surgery
sindano
(n)
injection
kidonge
(n)
pill
dawa ya maumivu
(n)
painkiller
utambuzi
(n)
diagnosis
matibabu
(n)
treatment
daktari
(n)
doctor
Chukua mbili ya hizi na unipigie simu asubuhi.
(s)
Take two of these and call me in the morning.
0 Comments
Top