Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Meetings
16 words
Word Image
Meetings
16 words
kwenye chumba cha makutano
(p)
boardroom
meza na viti kwenye ukumbi
table and chairs in the boardroom
mwenyekiti
(n)
chairman
Mwenyekiti aliomba kuwa sisi sote tuhudhurie mkutano.
The chairman made the request that we all attend the meeting.
mkalimani
(n)
interpreter
Tunahitaji mkalimani.
We need an interpreter.
mtafsiri
(n)
translator
Nilikuwa mtafsiri wa Kifaransa mbeleni.
I was a French translator before.
wakili
(n)
lawyer
wakili katika mahakama
lawyer in a courtroom
kuchekesha
(a)
humorous
hadithi ya kuchekesha
humorous story
kutania
(v)
joke
Hakuelewa utani wangu.
He didn't understand my joke.
ono
(n)
impression
maono ya kwanza
first impression
mtazamo
(n)
way of thinking
mtazamo wangu
my way of thinking
pingamizi
(n)
objection
kutokuwa na pingamizi
have no objection
mjadala
(n)
discussion
mjadala kuhusu biashara
discussion about business
muhimu
(a)
important
Kiamsha kinywa ndilo mlo muhimu wa siku.
Breakfast is the most important meal of the day.
majadiliano
(n)
negotiation
majadiliano ya kibiashara
business negotiations
mhasibu
(n)
accountant
Mhasibu wangu anaelewa gharama na makadirio yangu kunishinda.
My accountant understands my expenses and bills better than I do.
Uhasibu
(n)
accounting
makala ya uhasibu
accounting documents
shupavu
(a)
energetic
mnenaji shupavu
energetic speaker
0 Comments
Top