Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Money-related Expressions for Everyday Life
14 words
Word Image
Money-related Expressions for Everyday Life
14 words
Nikomsoto.
(s)
I am broke.
Niko na madeni.
(s)
I am in debt.
Je, una pesa yoyote?
(s)
Do you have any money?
Ninataka kuwa tajiri.
(s)
I want to be rich.
Je, naweza kukopa pesa?
(s)
Can I borrow some money?
Wakati ni pesa.
(s)
Time is money.
Je, wewe ni tajiri?
(s)
Are you rich?
Sina fedha.
(s)
I do not have cash.
Nahitaji kuokoa fedha.
(s)
I need to save some money.
Ndio nimelipwa.
(s)
I just got paid.
Niko na deni yako ya pesa gapi?
(s)
How much do I owe you?
Niko na deni lako.
(s)
I owe you.
Je, naweza pata fedha yangu tena?
(s)
Can I get my money back?
Unalipa leo.
(s)
You're paying today.
0 Comments
Top