Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Most Common Adjectives
30 words
Word Image
Most Common Adjectives
30 words
rembo
(a)
beautiful
Yeye ni mrembo.
She is beautiful.
ndogo
(a)
small
ndogo sana
very small
chelewa
(a)
late
kuchelewa kwenye mkutano
late for a meeting
muhimu
(a)
important
Kiamsha kinywa ndilo mlo muhimu wa siku.
Breakfast is the most important meal of the day.
mwenye bashasha
(p)
lively
Wachumba wenye bashasha.
lively couple
kubwa
(a)
big
Kiti kubwa kiko katikati.
The big chair is in the middle.
pana
(a)
wide
Mto nipana na kilindi.
The river is wide and deep.
nyembamba
(a)
narrow
njia nyembamba
narrow pass
fupi
(a)
short
fupi na ndefu
short and tall
ndefu
(a)
long
nzuri
(a)
good
Mboga ni nzuri kwa mwili wako.
Vegetables are good for you.
joto
(a)
hot
baridi
(a)
cold
Mwanamume mbaridi anakazana kujipasha joto.
The cold man is struggling to stay warm.
shupaa
(a)
strong
Tufani shupaa.
strong typhoon
ya chini
(a)
low
Bei ya gari hili ni ya chini sana.
The price of this car is too low.
juu
(a)
high
Bei ya jaketi hii ni juu sana.
The price of this jacket is too high.
rahisi
(a)
easy
mbaya
(a)
bad
Mwanamume mmbaya.
The man is bad.
mwema
(a)
kind
mwoyo mwema
a kind heart
sifika
(a)
famous
msanii anayesifika
famous actor
mpya
(a)
new
mzee
(a)
old
kunyamaza
(a)
quiet
kidogo
(a)
little
tofauti
(a)
different
0 Comments
Top