Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Must-know Math Words and Phrases
20 words
Word Image
Must-know Math Words and Phrases
20 words
hesabu
(n)
math
Somo langu nilipendalo sana katika shule ni hesabu.
My favorite subject in school is math.
nambari
(n)
number
Nambari 11 na 17 ni nambari ambazo hazigawiki.
The numbers 11 and 17 are both prime numbers.
isiyo gawanyika na mbili
(a)
odd
Namba 11 ni mfano wa namba isiyo weza kugawiwa na mbili.
The number 11 is an example of an odd number.
ni namba ya kugawanyika
(a)
even
Namba 8 ni mfano wa namba inayoweza kugawiwa na mbili.
The number 8 is an example of an even number.
alama ya kuongeza
(n)
plus
Moja jumlisha moja ni mbili.
One plus one is two.
alama ya kutoa
(n)
minus
Nane kutoa moja ni saba.
Eight minus one is seven.
mara
(n)
times
Tatu mara tatu ni tisa.
Three times three is nine.
ngawia
(v)
divide
Kumi ukigawa na mbili ni tano.
Ten divided by two is five.
sawa
(v)
equal
Tano ukiongeza tano ni sawa na kumi.
Five plus five equals ten.
nukta
(n)
point
moja nukta sufuri tatu
one point zero three
asilimia
(n)
percent
Asilimia hamsini ya kumi na mbili ni sita.
Fifty percent of twelve is six.
salio
(n)
remainder
Ukigawanya kumi na nne kwa tatu, jibu ni nne na salio ya mbili.
If you divide fourteen by three, the quotient is four with a remainder of two.
formula
(n)
formula
Je, unajua fomula ya kuhesabu kiasi cha nyanja?
Do you know the formula for the volume of a sphere?
usawazishaji
(n)
equation
Mwanafunzi alitatua ikuishoni.
The student solved the equation.
alama ya kutofautiana
(n)
variable
Katika hesabu, vigezo kwa kawaida huwakilishwa na herufi "x" na "y".
In math problems, the variables are usually represented by the letters "x" and "y."
ufumbuzi
(n)
solution
Kama tutarahisisha mlingayo, suluhisho ni dhahiri.
If we simplify the equation, the solution is obvious.
husiana
(n)
function
Alama ya uhusiano inawakilisha uhusiano kati ya vigezo mbili.
A function represents the relationship between two variables.
fanya hesabu
(v)
calculate
Je, unaweza kufanya hesabu ya gharama ya mboga?
Can you calculate the cost of the groceries?
nne
(n)
fourth
Wakati inageuzwa kuwa sehemu, asilimia sabini na tano inakuwa robo tatu.
When converted into a fraction, seventy-five percent becomes three-fourths.
nusu
(n)
half
Wito wa maelezo ya upishi ulikuwa kijiko kimoja na nusu cha chai cha sukari.
The recipe called for one and a half teaspoons of sugar.
0 Comments
Top