Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Must-Know Terms for Family Members
32 words
Word Image
Must-Know Terms for Family Members
32 words
jamaa
(n)
family
familia inakula chakula cha jioni.
The family is eating dinner.
mama
(n)
mother
mama na bintiye
mother and daughter
baba
(n)
father
Baba Mario ni nani?
Who is Mario's father?
mke
(n)
wife
mume na bibi
husband and wife
mume
(n)
husband
Mume wangu mpendwa ananipikia.
My beloved husband is cooking for me.
mzazi
(n)
parent
mtoto
(n)
child
Watoto hupenda kucheza.
Children love to play.
binti
(n)
daughter
Huyu ni binti yangu.
This is my daughter.
kijana
(n)
son
Mimi nilimtuma mwanangu kusoma nchini London.
I sent my son to study in London.
dada
(n)
sister
Dadake mkubwa anamshika dadake mdogo.
The older sister is holding her younger sister.
kaka
(n)
brother
dada mdogo
(p)
younger sister
Dada yangu mdogo alienda Uingereza kusoma nje ya nchi.
My younger sister went to England to study abroad.
kaka mdogo
(p)
younger brother
Ndugu yangu mdogo mara nyingi huongea usingizini.
My younger brother often talks in sleep.
kaka mkubwa
(p)
older brother
nyanya mkuu
(n)
great-grandmother
babu mkuu
(n)
great-grandfather
nyanya
(n)
grandmother
nyanya wa sehemu ya babangu
paternal grandmother
babu
(n)
grandfather
babu wa sehemu ya mama
maternal grandfather
babu na nyanya
(n)
grandparent
mjukuu
(n)
grandchild
mjukuu
(n)
granddaughter
mjukuu mdogo wa kike
little granddaughter
mjukuu
(n)
grandson
mjukuu wangu wa kiume
my grandson
shangazi
(n)
aunt
mjomba
(n)
uncle
mpwa wa kike
(n)
niece
mpwa wangu Sarah
my niece Sarah
0 Comments
Top