Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Personal Care, Hygiene, and Grooming
20 words
Word Image
Personal Care, Hygiene, and Grooming
20 words
karatasi ya choo
(p)
toilet paper
Nilinunua bumba mbili ya chachi.
I bought two rolls of toilet paper.
chachi
(n)
tissue
Samahani, je una chachi?
Excuse me, do you have a tissue?
mapambo
(n)
makeup
Msanii wa mapambo anamvalisha mwanamke mapambo.
The makeup artist is putting makeup on the woman.
sabuni
(n)
soap
Pau la sabuni ni bluu.
The bar of soap is blue.
mswaki
(n)
toothbrush
mswaki wa bluu
blue toothbrush
dawa ya meno
(p)
toothpaste
Hatuna dawa ya meno.
We're out of toothpaste.
shampuu
(n)
shampoo
kushampuu marambili
shampoo twice
kiyoyozi
(n)
conditioner
shampu na kiyoyozi
shampoo and conditioner
manukato
(n)
deodorant
Manukato ya kuzuia joto.
antiperspirant deodorant
marashi
(n)
perfume
puliza marashi
spray perfume
rangi ya mdomo
(n)
lipstick
Mafuta ya unyevu nyevu
(n)
moisturizer
mafuta ya kunyunyizia nywele
(n)
hair spray
wembe
(n)
razor
povu ya kunyoa
(n)
shaving foam
sabuni ya mkono
(n)
hand soap
nywila
(n)
aftershave
Jeli ya kuoga
(n)
shower gel
kitambaa cha kuosha uso
(p)
face towel
pedi ya utakaso
(p)
cleansing pad
0 Comments
Top