Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Phrases to Express Your Fears
41 words
Word Image
Phrases to Express Your Fears
41 words
maji
(n)
water
maumivu
(n)
pain
maumivu ya bega
shoulder pain
kioo
(n)
mirror
Kioo kinaning'inia kwenye ukuta.
The mirror is hanging on the wall.
mbwa
(n)
dog
mbwa hadharangi na mbwa mweusi
a brown dog and a black dog
Halloween
(n)
Halloween
ndege
(n)
airplane
Ndege linapaa angani.
The airplane is flying in the sky.
mafuriko
(n)
flood
Gari, mtindo wa jip, linasukumiza katika mafuriko.
The jeep is pushing through the flood.
gurumo
(n)
thunder
gurumo kubwa
rolling thunder
doruba
(n)
thunderstorm
Doruba linaangaza mwitu uliogiza.
The thunderstorm is lighting up the dark forest.
kibunga
(n)
tornado
Kimbuga kinasongea prairie.
The tornado is twisting across the prairie.
buibui
(n)
spider
Buibui anajilinda.
The spider is protecting itself.
nyoka
(n)
snake
Nyoka wa ziwa anaogelea karibu na mwamba.
The sea snake is swimming near the coral reef.
papa
(n)
shark
Papa wanawinda chakula katika maji kame.
The sharks are hunting for food in the shallow water.
tetemeko
(n)
earthquake
Tetemeko linatetemesha ardhi.
The earthquake is shaking the ground.
popo
(n)
bat
Popo wanabembea kwenye tawi wakila tikiti.
The bats are hanging from a branch eating watermelon.
hospitali
(n)
hospital
jengo la hospitali
hospital building
saa
(n)
clock
Saa ya ukuta inabembea kwenye ukuta.
The wall clock is hanging on the wall.
sindano
(n)
needle
sindano kumbwa
large needle
jini
(n)
ghost
paka nyuesi
(n)
black cat
mama
(n)
mummy
hayawani
(n)
monster
shetani
(n)
devil
mtambaazi
(n)
reptile
kaburini
(n)
graveyard
0 Comments
Top