Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Phrases to Use When You Are Too Lazy
20 words
Word Image
Phrases to Use When You Are Too Lazy
20 words
Je, unaweza kufunga mlango?
(s)
Can you close the door?
Tafadhali tunza watoto.
(s)
Please take care of the children.
Je! Unaweza kutembeza mbwa?
(s)
Can you walk the dog?
Unaweza kuzima taa?
(s)
Can you turn off the lights?
Tafadhali fanya ununuzi, nimechoka.
(s)
Please do the shopping, I am tired.
Je, unaweza peleka takataka nje?
(s)
Can you take out the trash?
Sio wakati mzuri wa kusafisha vyombo vya jikoni?
(s)
It is not the right time to wash the dishes?
Ungependa kuangalia orodha ya ununuzi?
(s)
Would you mind checking the shopping list?
Hii sio kazi yangu.
(s)
This is not my job.
Nina vitu vingi vinavyoendelea sasa hivi.
(s)
I just have too much stuff going on right now.
Ninahitaji muda zaidi wa kupumzika.
(s)
I need more time off.
Kwa kweli sijui jinsi ya kufanya hivyo.
(s)
I really do not know how to do that.
Sidhani ninaweza kukusaidia.
(s)
I do not think I can help you.
Hii inaweza fanywa na mtu mwingine.
(s)
This can be done by someone else.
Je, ninaweza kufanya baadaye?
(s)
Can I do it later?
Nina dakika tano zaidi ya kulala.
(s)
I just have 5 minutes more to sleep.
Je! Unaweza kushika kitabu hiki ninaposoma?
(s)
Can you hold this book while I'm reading it?
Hebu tuagize chakula cha kuletwa.
(s)
Let's order delivery food.
Ni pesa gapi kifyonza vumbi cha otomatiki
(s)
How much is an automatic vacuum cleaner?
Sitaki kusoma mwongozo kama huo mrefu.
(s)
I don't want to read such a long manual.
0 Comments
Top