Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Phrases You Need at the Bus or Train Station in Kenya
15 words
Word Image
Phrases You Need at the Bus or Train Station in Kenya
15 words
Hicho kituo cha treni kiko wapi?
(s)
Where is the train station?
Basi ijayo ni ya saa ngapi?
(s)
What time is the next bus?
Treni ifuatayo ni ya saa ngapi?
(s)
What time is the next train?
Hii treni inachelewa.
(s)
The train's running late.
Treni imetupiliwa mbali.
(s)
The train's been cancelled.
Treni ya mwisho ni saa ngapi?
(s)
What time is the last train?
Kituo cha basi kiko wapi?
(s)
Where is the bus stop?
Je, ninaweza kununua wapi tiketi?
(s)
Where can I buy a ticket?
Mashine za tiketi ziko wapi?
(s)
Where are the ticket machines?
Ningependa kwenda kwenye kituo cha reli cha Nairobi.
(s)
I would like to go to Nairobi railway station.
Hii ndio eneo inayofaa kwa kituo cha reli cha Nairobi?
(s)
Is this the right platform for Nairobi train sation?
Ni wapi nitabadilisha nikienda mbuga la wanyama la Nairobi?
(s)
Where do I change for Nairobi national Park?
Hii inasimama kituo cha reli cha Syokimau?
(s)
Does this stop at Syokimau train station?
Hii basi inaenda Westlands?
(s)
Does this bus go to Westlands?
Ni pesa ngapi hadi Upper Hill?
(s)
How much is it to Upper Hill?
0 Comments
Top