Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Swahili Quotes about Love
15 words
Word Image
Swahili Quotes about Love
15 words
Kuna uwezekano mimi sio wa kwanza kuwa mpenzi wako, kukupa busu, ama kukupenda lakini nataka kuwa wako wa mwisho.
(s)
I may not be your first date, kiss, or love, but I want to be your last.
Hisia bora kabisa ni wakati unamwangalia na yeye tayari anakuangalia.
(s)
The best feeling is when you look at him and he is already staring.
Pamoja na wewe ni pahala bora zaidi kwangu kuwa.
(s)
Together with you is my favorite place to be.
Kama ningeishi maisha yangu tena, Ningependa kukupata upesi.
(s)
If I were to live my life again, I'd find you sooner.
Nataka kuwa jambo lako la maana sana na kwaheri yako ambayo ni ngumu sana.
(s)
I want to be your favorite hello and your hardest goodbye.
Kila mahali nikiangalia ninakumbushwa upendo wako. Wewe ni dunia yangu.
(s)
Everywhere I look I am reminded of your love. You are my world.
Upendo ni kama upepo, huwezi kuona, lakini unaweza kuhisi hivyo.
(s)
Love is like the wind, you can't see it, but you can feel it.
Najua upendo ni nini, ni kwa sababu yako.
(s)
If I know what love is, it is because of you.
Nikikuangalia wewe, naona maisha yangu yote ya usoni mbele ya macho yangu.
(s)
When I look at you, I see the rest of my life in front of my eyes.
Kupenda sio kitu. Kupendwa ni kitu. Lakini kupenda na kupendwa ni kila kitu.
(s)
To love is nothing. To be loved is something. But to love and be loved is everything.
Naapa siweza kukupenda zaidi kuliko sasa na bado najua nitafanya hivyo kesho.
(s)
I swear I couldn't love you more than I do right now, and yet I know I will tomorrow.
Sina haja ya mahala peponi kwa sababu nimekupata wewe. Sina haja na ndoto kwa sababu niko na wewe.
(s)
I donโ€™t need paradise because I found you. I donโ€™t need dreams because I have you.
Kama kuna kitu chochote nilifanya vizuri maishani mwangu, ilikuwa ni wakati mimi nilikupea moyo wangu.
(s)
If I did anything right in my life, it was when I gave my heart to you.
Mimi najihisi sana wakati niko na wewe.
(s)
I'm much more me when I'm with you.
Asante daima kwa kuwa upinde wangu baada ya dhoruba.
(s)
Thank you for always being my rainbow after the storm.
0 Comments
Top