Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Religion
14 words
Word Image
Religion
14 words
tamasha la muziki
(p)
festival
Nilienda kwenye tamasha la sinema.
I went to the film festival.
sherehe
(n)
ceremony
Raisi alihutubu katika sherehe letu la mahafali.
The president spoke at our graduation ceremony.
dini
(n)
religion
jadili kuhusu dini
discuss religion
Uislamu
(n)
Islam
Kitabu takatifu cha Uislamu
Holy Book of Islam
Uprotestanti
(n)
Protestantism
mabadiliko ya Uprotestanti
Protestant reformation
Ukatoliki
(n)
Catholicism
Kanisa ya Ukatoliki ya Kirumi
Roman Catholic Church
Uhindu
(n)
Hinduism
Uhindu wa India
India's Hinduism
Ubudha
(n)
Buddhism
Ubudha wa Uchina
Chinese Buddhism
hekalu
(n)
temple
Nilizuru hekalu ya Kyoto.
I toured the temples in Kyoto.
mskiti
(n)
mosque
Msikitini waislamu huomba kila siku.
At a mosque, muslims pray every day.
kanisa
(n)
church
Kanisa nyeupe
white church
mchongo
(n)
statue
Mchongo wa Haki
Statue of Justice
Uyuda
(n)
Judaism
Uyuda, Ukristo, Ubudha na madini mengine mengi zina paroko.
Judaism, Christianity, Buddihuism and many other religions have priests.
Ukristo
(n)
Christianity
0 Comments
Top