Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Restaurant
22 words
Word Image
Restaurant
22 words
hundi
(n)
check
Naweza lipa kwa kutumia hundi?
Can I pay by check?
kidokezi
(n)
tip
Mwanamume anampa mhudumu kidokezi.
The gentleman is tipping the waiter.
kadi ya kredit
(n)
credit card
nunua kwa kadi ya krediti
buy with a credit card
mhudumu
(n)
waitress
mhudumu katika nguo rasmi ya kazi
waitress in uniform
chakula cha jioni
(p)
dinner
burudika kwa chakula cha jioni
enjoy dinner
kumbwe
(n)
snack
wakati wa kumbwe
snack time
mhudumu
(n)
waiter
mhudumu wa hoteli
hotel waiter
msimamizi
(n)
maitre d'
Msimamizi huamua nani aingiaye na nani atakaye kaa wapi.
The maitre' d controls who gets in and who sits where.
mpishi mkuu
(n)
chef
Mpishi anatayarisha chakula.
The chef is preparing the dish.
menu
(n)
menu
changua kutoka kwa menu
select from the menu
jagi la maji
(p)
pitcher of water
pasipovutwa sigara
(p)
non-smoking
sehemu pasipovutwa sigara
non-smoking section
uvutaji sigara
(p)
smoking
sehemu ya kuvuta sigara
smoking patio
kuagiza chakula
(p)
order food
Mwanamke anaagiza chakula.
The woman is ordering food.
chakula cha haraka
(p)
fast food
mlo asusa
fast food meal
chakula cha kizungu
(p)
Western food
mgahawa wa chakula cha kizungu
western food restaurant
chakula cha Kiitalia
(p)
Italian food
Tambi na mchuzi wa nyanya inazingatiwa kuwa chakula cha italia.
Pasta with tomato sauce is considered Italian food.
chakula cha Uchina
(p)
Chinese food
Chakula cha uchina ni tamu!
Chinese food is delicious!
maji
(n)
water
Mwanamume anakunywa kwa chupa cha maji.
The man is drinking from the water bottle.
bili
(n)
bill
bili isiyoghali
inexpensive bill
chakula cha kitamaduni
(p)
ethnic food
Uzuri wa kusafiri ni uwezo wa kupata aina nyingi ya vyakula vya kitamaduni.
The best part of traveling is the access to a wide range of ethnic food.
huduma ya kibinafsi
(p)
self-service
mgahawa wa huduma wa kibinafsi
self-service restaurant
0 Comments
Top